Bani Israil 17:38 كل ذالك كان سييه عند ربك مكروها ٣٨
كُلُّ
ذَٰلِكَ
كَانَ
سَيِّئُهُۥ
عِندَ
رَبِّكَ
مَكۡرُوهٗا
٣٨
Haya yote ubaya wake ni wenye kuchukiza kwa Mola wako Mlezi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Yote yaliyotangulia kutajwa, ya maamrisho na makatazo, Mwenyezi Mungu Anayachukia mabaya yake na hayaridhii kwa waja wake.